>>> >>Matani ya kikenya
>>> >>1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha
>>> >>zinakuwa
>>> >>tinted!
>>> >>2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ?THU? hii hao
>>> >>(HOUSE) ni
>>> >>noma.
>>> >>3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.
>>> >>4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi
>>>anaiba,
>>> >>zinawaambia ?wee iba tu Mungu anakuona.?
>>> >>5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.
>>> >>6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina
>>> >>hang
>>> >>kwa hewa.
>>> >>7. We mjinga mpaka ulifail blood test.
>>> >>8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie
>>> >>torch.
>>> >>
>>> >>9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa
>>> >>mala
>>> >>(MGANDO/MTINDI).
>>> >>10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak
>>> >>kwa
>>> >>makaa.
>>> >>11. Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea
>>> >>na
>>> >>bakora.
>>> >>12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda(baba) yenu
>>> >>hajui
>>> >>majina mpaka huwa address kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA
>>>
>>> >>HOTUBA)
>>> >>13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.
>>> >>14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.
>>> >>15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni
>>> >>schoolbus.
>>> >>16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror(movie
>>> >>ya
>>> >>kutisha) Hollywood.
>>> >>17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.
>>> >>18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao(house) kuna round-about.
>>> >>19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (WAJINGA) mpaka kupata driving
>>> >>license
>>> >>ilibidi mpelekwe boarding school.
>>> >>20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama
steel
>>> >>wool.
>>> >>21. Mko wengi kwa hao(house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha
>>> >>kunakuwa na jam.
>>> >>22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa
>>>zile vitanda double
>>> >>decker
>>> >>lazima utumie parachute.
>>> >>23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema
>>> >>..ati
>>> >>Munatuona jamani?
>>> >>24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.
>>> >>25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good
>>> >>evening?
>>> >>
>>> >>26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt
>>> >>27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.
>>> >>28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate
>>> >>29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork
na
>>> >>pilipili.
>>> >>30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine
>>> >>wanatokea
>>> >>kama wame hang(ning?inia) kwa frame.
>>> >>31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News(watangazaji wa habari) wame
>>>
>>> >>piga
>>> >>magoti.
>>> >>32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time
>>> >>ifike kwa
>>> >>magoti ime kauka.
>>> >>33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers(malapa).
>>> >>34. Budako(baba yako) ni fala, alienda ku buy ngombe akaona
>>> >>ikikojoa
>>> >>akasema, sitaki hiyo, imetoboka.
Friday, September 14, 2007
Matani ya kikenya
Posted by Zack at 6:47 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Wanafurahisha sana wakenya ati nini iko sema wewe heeee na kama we lijua kwa nini apana sema, haraaka.
Post a Comment